Hizi kazi Ni Utapeli au kweli, Data Collection Officers 40 -posts etc

The pay is extremely high (Mishahara huwa ni mikubwa kuvutia wengi)

Bila shaka leo umeziona hizi nafasi za kazi zikitrend ila kama siyo halisi hivi 🙂

If you notice that the description mentions an unusually high-income level for the position, it may be a warning sign. For instance, if a job description states the employer will pay an annual salary of Tzs 2,000,000 for only 15 to 20 hours per week for an entry-level role, it could be a sign to look into the company and position further before applying.

Hawa jamaa walitutumia email…ila sisi tulikataa

Sababu za kukataa

  • Sababu kubwa ya kukataa ni Domain ilionekana imesajiliwa jana
  • Sababu ya pili ni TIN namba tulipowaomba walitutumia TIN ambayo haipo (tulisearch TRA Haikupatikana kwenye database ya TRA)

 

Ebu Angalia vizuri Mishahara yao sasa

 

 

 

Go to our Homepage To Get Relevant Information.

Only candidates can apply for this job.
Jobs in Tanzania: JOB SCAM ALERT!! Never Pay To Get A Job. Legitimate companies don’t ask for money. Mabumbe.com is not responsible for monies paid to Scammers.

Discover Your Next Career Move:  –  Nafasi za kazi mpya Leo, Ajira Tanzania, Zoom Tanzania | Jobs in Tanzania. Ajira Mpya, Ajira Portal, Zetu yako 360: Jobs and Vacancies in Tanzania.