Nafasi za kazi 14, Halmashauri ya Wilaya ya Tabora Uyui

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmshauri ya Wilaya ya Tabora Uyui anawatangazia nafasi za kazi kwa wananchi wote wenye sifa za kuomba nafasi hizo kama inavyoonyesha hapo chini

MTENDAJI WA KIJIJI DARAJA LA III – NAFASI 14

SIFA ZA MWOMBAJI

Awe amehitimu elimu ya kidato cha Sita/Nne na Mafunzo ya Astashahada/cheti katika moja ya fani zifuatazo: Utawala, Sheria, Elimu ya Jamii, Usimamizi wa Fedha, Maendeleo ya Jamii na Sayansi ya sanaa kutoka Chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo Dodoma, au Chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali.

KAZI ZA KUFANYA
– Afisa Masuuli na Mtendaji Mkuu wa Serikali ya Kijiji.
– Kusimamia ulinzi na Usalama wa raia na mali zao.
– Kuratibu na kusimamia upangaji wa utekelezaji wa Mipango ya Maendeleo ya Kijiji.
– Katibu wa Mikutano na Kamati zote za Halmashauri ya Kijiji.
– Kutafsiri na kusimamia Sera, Sheria na Taratibu.
– Kuandaa Taarifa za Utekelezaji wa kazi katika eneo lake na Kuhamasisha wananchi katika kuandaa na kutekeleza mikakati ya kuondoa njaa, umaskini na kuongeza uzalishaji mali.
– Kusimamia, kukusanya na kuhifadhi kumbukumbu zote na Nyaraka za Kijiji.

2.3. MSHAHARA
TGS B1 – Tshs 390, 000/=

UMRI
Mwombaji awe na umri wa kuanzia miaka 18 hadi 40 na awe Raia wa Tanzania

MAELEZO YA JUMLA
– barua ya maombi iambatane na nakala ya vyeti vyake vya elimu ya sekondari na vyuo pamoja na taarifa binafsi
– muombaji abandike picha 2 za passport za hivi karibuni katika buara yake ya maombi
– hakikisha unaweka namaba ya simu na anuani ya posta

maombi yatumwe kwa

Mkurugenzi Mtendaji (W),
Halmashauri ya Wilaya ya Tabora
S.L.P 610,
TABORA.

Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 22 Januari 2018

If you liked this article, then please subscribe to our FREE Job Alerts. You can also find us on Twitter, Instagram and Facebook.
Only candidates can apply for this job.

Search Job Here
Jobs in Tanzania: JOB SCAM ALERT!! Never Pay To Get A Job. Legitimate companies don’t ask for money and any employment or job openings with requests for payment or fees should be treated with extreme caution, viewed as potentially fraudulent and reported TO TAKUKURU (PCCB) immediately. Mabumbe.com is not responsible for monies paid to Scammers.

JOBS BY CATEGORIES / FIELD

JOBS VACANCIES BY LOCATION