Msimbazi Montessori Training Centre Dar es Salaam

Mission

To provide Quality, Holistic, and self-Reliant Education for liberation of Theoretical mind to make it practical and fitting in competitive World of Today.

Vision

To be a Centre for privision of quality, holistic and self-reliant education

Values

Moral Integrity, Order, Nobility, Team work, Ethics, Service, Spirituality, Organization, Respect, Innovative.

Motto

Help Me To Do It By Myself.


NAFASI YA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA UALIMU MWAKA WA MASOMO 2017/18

Chuo cha Montessori Training Centre Msimbazi, Dar- es-Salaam, kinamilikiwa na kuendeshwa na Masista wa shirika la Dada Wadogo wa Mt. Fransisko wa Asiz wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam.
SEHEMU CHUO KILIPO:
Chuo kipo ndani ya Msimbazi Centre (barabara ya Kigogo) mkabala na Kanisa Katoliki la Msimbazi.

MAFUNZO

ASTASHAHADA YA UALIMU YA ELIMU YA MSINGI (GRADE A)

  • SIFA ZA MWOMBAJI:

  • Elimu ya kidato cha nne na Ufaulu usiopungua daraja la tatu kwa Astashahada ya Ualimu wa msingi (Grade A)
  • Elimu ya kidato cha nne kwa Mafunzo ya Stashahada ya Ualimu wa Chekechea (Montessori)

KUANZA MAFUNZO:

  •  Tarehe 25, Septemba, 2017

MWISHO WA UDAILI: 

  • Tarehe 20, August, 2017

GHARAMA YA FORM NI SHILLING 20,000/=

STASHAHADA YA UALIMU WA CHEKECHEA (MONTESSORI)

  • SIFA ZA MWOMBAJI:

  • Elimu ya kidato cha nne na Ufaulu usiopungua daraja la tatu kwa Astashahada ya Ualimu wa msingi (Grade A)
  • Elimu ya kidato cha nne kwa Mafunzo ya Stashahada ya Ualimu wa Chekechea (Montessori)

Kuanza mafunzo:

  •  tarehe 29, januari, 2018

MWisho wa udaili:

   tarehe 20, januari, 2017

NAFASI ZA MASOMO KWA SHULE MSINGI ( ENGLISH MEDIUM)

 • Kuanza mafunzo: januari, 2018
NAFASI YA SHULE YA AWALI (KINDERGARTEN)KWA MFUMO WA MONTESSORI (ENGLISH MEDIUM)

NB: FOMU ZOTE ZINAPATIKANA KWA GHARAMA YA SHILLINGI 20,000/=
JINSI YA KUTUMA MAOMBI:

 • Fika Montessori Training Centre Msimbazi. au
 • Barua Pepe: [email protected] au
 • Sanduku la Posta: 72475 Dar-es-Salaam au
 • Piga simu kwa namba: 0784 983 800, 0686 928 011.

More and apply http://www.mtcmsimbazi.ac.tz

APPLICATION ONLINE HERE (APPLICATION FORM)

MONTESSORI TRAINING CENTRE – MSIMBAZI

INSTITUTION DETAILS

REG/TLF/133

Institute Name: MONTESSORI TRAINING CENTRE – MSIMBAZI

Registration Status:         Full Registered Institute Establishment Date:        09-Feb-2016

Registration Date:            17-Mar-2016      Accreditation Status:      Not Accredited

Ownership:        Private  Region: Dar es Salaam

District: Ilala Municipal Council   Fixed Phone       +255 – 686956602

Phone: 0719209959         Address:              P. O. BOX 72475 DAR ES SALAAM

Email Address:  [email protected], [email protected]        Web Address:

PROGRAMMES OFFERED BY THIS INSTITUTION

#             Programme Name           NTA

1              BASIC TECHNICIAN CERTIFICATE IN PRIMARY EDUCATION              Level 4

2              TECHNICIAN CERTIFICATE IN PRIMARY EDUCATION          Level 5

3              ORDINARY DIPLOMA IN PRIMARY EDUCATION (PRE SERVICE)       Level 6

4              ORDINARY DIPLOMA IN PRIMARY EDUCATION (IN SERVICE)          Level 6

5              ODINARY DIPLOMA IN PRIMARY EDUCATION (IN SERVICE)            Level 6


 
October 2020
M T W T F S S
 1234
567891011
12131415161718
19202122232425
262728293031