Vigezo vya Kuomba mkopo wa Elimu ya juu

HESLB – Vigezo vya Kuomba mkopo wa Elimu ya juu.


 

 

Waombaji wote wa mikopo watarajiwa mnasisitizwa kusoma mwongozo wa utoaji mikopo na ruzuku kwa mwaka wa masomo pamoja na taratibu nyingine za uombaji mkopo kabla ya kujaza fomu za maombi ya mkopo zinazopatikana kwenye mtandao wa https://olas.heslb.go.tz

  • Kusoma mwongozo na vigezo vya utoaji mikopo na ruzuku kwa mwaka wa masomo bofya hapa
  • Kusoma hatua za kufuata kufanya maombi ya mkopo na malipo bofya hapa

Kusoma kuhusu sifa za msingi za mwombaji kwa Kiswahili bofya hapa na kwa Kiingereza bofya hapa
October 2020
M T W T F S S
 1234
567891011
12131415161718
19202122232425
262728293031